Ethereum kwa watengenezaji wa rust
Ukurasa ulihaririwa mwisho: 26 Agosti 2025
Tumia Ethereum kuunda programu zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia manufaa ya sarafu fiche na teknolojia ya kiambajengo. Dapp hizi zinaweza kuaminika, kumaanisha kwamba pindi tu zitakapotumwa Ethereum, zitatumika kila mara jinsi zilivyoratibiwa. Wanaweza kudhibiti vipengee vya dijitali ili kuunda aina mpya za programu za kifedha. Zinaweza kugatuliwa, kumaanisha kuwa hakuna huluki moja au mtu anayezidhibiti na karibu haiwezekani kuzidhibiti.
Kuanza na mikataba-erevu na lugha ya Solidity
Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha Rust na Ethereum
Je, unahitaji primer ya msingi zaidi kwanza? Angalia ethereum.org/learn au ethereum.org/developers.
- Mnyororo wa bloku Umefafanuliwa (opens in a new tab)
- Kuelewa Mikataba-erevu (opens in a new tab)
- Andika Mkataba-erevu wako wa Kwanza (opens in a new tab)
- Jifunze Jinsi ya Kuandaa na Kupeleka Solidity (opens in a new tab)
Makala za wanaoanza
- Mteja wa Rust Ethereum (opens in a new tab) * Kumbuka kuwa OpenEthereum imesitishwa (opens in a new tab) na haitunzwi tena. Itumie kwa tahadhari na inapendekezwa ubadilishe hadi kwa utekelezaji mwingine wa mteja.
- Kutuma Muamala kwa Ethereum kwa Kutumia Rust (opens in a new tab)
- Mafunzo ya hatua kwa hatua kuhusu jinsi ya kuandika mikataba katika rust Wasm kwa ajili ya Kovan (opens in a new tab)
Makala za wastani
Mifumo ya juu ya matumizi
-
Unda Soga Iliyogatuliwa kwa kutumia JavaScript na Rust (opens in a new tab)
-
Unda Programu ya Mambo ya Kufanya Iliyogatuliwa kwa kutumia Vue.js & Rust (opens in a new tab)
Miradi na zana za Rust
- pwasm-ethereum (opens in a new tab) - Mkusanyiko wa externs ili kuingiliana na mtandao unaofanana na Ethereum
- Lighthouse (opens in a new tab) - Mteja wa haraka wa safu ya makubaliano ya Ethereum
- Ethereum WebAssembly (opens in a new tab) - Muundo mpya uliopendekezwa wa safu ya utekelezaji ya mkataba-erevu wa Ethereum kwa kutumia seti ndogo maalum ya WebAssembly
- oasis_std (opens in a new tab) - Rejeleo la API la OASIS
- Solaris (opens in a new tab) - Mfumo wa majaribio ya kitengo kwa Mikataba-Erevu ya Solidity kwa kutumia EVM asili ya Mteja wa Parity.
- SputnikVM (opens in a new tab) - Utekelezaji wa Rust wa Mashine Halisi ya Ethereum
- Wavelet (opens in a new tab) - Mkataba-erevu wa Wavelet katika Rust
- Foundry (opens in a new tab) - Seti ya zana za uundaji wa programu za Ethereum
- Alloy (opens in a new tab) - Maktaba za utendaji wa hali ya juu, zilizojaribiwa vizuri na zilizoandikwa kwa ajili ya kuingiliana na Ethereum na minyororo mingine inayotegemea EVM.
- Ethers_rs (opens in a new tab) - Utekelezaji wa maktaba na mkoba wa Ethereum
- SewUp (opens in a new tab) - Maktaba ya kukusaidia kuunda mkataba wako wa webassembly wa Ethereum ukitumia Rust kama vile unavyotengeneza kwenye sehemu ya nyuma ya kawaida
- Substreams (opens in a new tab) - Teknolojia ya kuorodhesha data ya mnyororo wa bloku kwa usambamba
- Reth (opens in a new tab) Reth (kifupi cha Rust Ethereum) ni utekelezaji mpya wa node kamili ya Ethereum
- Awesome Ethereum Rust (opens in a new tab) - Mkusanyiko ulioratibiwa wa miradi katika mfumo ikolojia wa Ethereum iliyoandikwa kwa Rust
Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia ethereum.org/developers.