Miongozo ya Ethereum
Ungependa kuanza safari yako ya Ethereum? Miongonzo yetu ya mazoezi ya vitendo yanatakuongoza hatua baada ya hatua jinsi ya kuanza, na itakurahisishia kujielekeza katika teknologia hii mpya.
Anza
-
Jinsi ya "kuunda" akaunti ya Ethereum - Mtu yeyote anaweza kuunda mkoba bure. Mwongozo huu utakuonyesha pahali utakapoanza.
-
Jinsi ya kutumia mkoba - Jifunze jinsi ya kutuma na kupokea tokeni kwenye mkoba wako na jinsi ya kuunganisha mkoba kwenye miradi.
Misingi ya Usalama
-
Jinsi ya kubatilisha ufikiaji wa mkataba-erevu kwa fedha zako za crypto - Ikiwa utaona muamala ghafla kwenye mkoba wako ambao hukuanzisha, mwongozo huu utakufundisha jinsi ya kuzuia hilo lisitokee tena.
-
Jinsi ya kutambua tokeni tapeli - Tokeni tapeli ni nini? Yanajifanya asili namna gani, utayambua na kujikinga na kuepuka kutapeliwa kivipi?
Utumizi wa Ethereum
-
Jinsi ya kuunganisha tokeni kwenye safu ya 2 - Je, miamala ya Ethereum ni ghali sana? Kusudia kuelekeza shughuli za upanuzi wa Ethereum zinazoitwa Kiwango 2s.
-
Jinsi ya kubadilisha tokeni - Je, unataka kubadilisha tokeni zako na nyingine tofauti? Mwongozo huu rahisi utakuonyesha jinsi ya kufanya hivyo.
Ukurasa ulihaririwa mwisho: 25 Aprili 2025