Nyaraka za maendeleo ya Ethereum
Ukurasa ulihaririwa mwisho: 23 Februari 2026
Nyaraka hizi zimeundwa kukusaidia kujenga kwa kutumia Ethereum. Inashughulikia Ethereum kama dhana, inaeleza mfumo wa kiteknolojia wa Ethereum, na inaandika mada za juu kwa matumizi na matumizi tata zaidi.
Huu ni mradi wa jamii wa chanzo huria, kwa hivyo jisikie huru kupendekeza mada mpya, kuongeza maudhui mapya na kutoa mifano wakati wowote unapofikiri inaweza kusaidia. Nyaraka zote zinaweza kuhaririwa kupitia GitHub – ikiwa huna uhakika jinsi ya kufanya, fuata maagizo haya (opens in a new tab).
Moduli za maendeleo
Ikiwa hii ndio mara yako ya kwanza kujaribu maendeleo ya Ethereum, tunapendekeza uanze mwanzo na uendelee hatua kwa hatua kama vile unasoma kitabu.
Mada za msingi
- Utangulizi wa Ethereum – Maelezo ya haraka kuhusu Ethereum
- Utangulizi wa Ether – Muhtasari wa haraka kuhusu Ether
- Utangulizi wa dapps – Utangulizi wa programu zisiozo na mipaka
- Wavuti-2 dhidi ya Wavuti-3 – Utofauti ya msingi ambazo kiambajengo inategemea programu inayotoa
- Akaunti – Taasisi za mtandao ambazo zinaweza kuwekeza baki na kutuma shughuli
- Miamala – Uhamisho na vitendo vingine vinavyosababisha hali ya Ethereum kubadilika
- Vipande – Jinsi shughuli zinavyo unganishwa pamoja ili kusababisha kusawazishwa kwa wahusika wote
- Mashine Pepe ya Ethereum – The EVM handles all the computation on the Ethereum network
- Gesi – Nguvu ya kompyuta inayohitajika kuchakata miamala, inayolipwa kwa ETH na watumaji wa miamala.
- Nodi na wateja – Washiriki wa mtandao na programu wanazotumia kuthibitisha miamala.
- Mitandao – Utekelezaji wa Ethereum, ikiwa ni pamoja na mitandao ya majaribio
- Utaratibu wa makubaliano – Jinsi nodi husika ya mtandao wakusambazwa huukubaliana na hali ya sasa ya mfumo
Rafu ya Ethereum
- Utangulizi katika mpororo – Muhtasari wa mfumo wa Ethereum/Web3
- Mikataba erevu – Programu ambazo hukaa katika anwani ya Ethereum na huendesha utendaji kazi inapoanzishwa na miamala
- Maendeleo ya mtandao – Mazingira ya kawaida ya kiambajengo inayotumika kujaribu programu gatuzi kabla ya kuachiwa
- Mfumo wa maendeleo – Zana zinazorahisisha uundaji kwa kutumia Ethereum
- Mteja wa Ethereum APIs – Maktaba zinazokuwezesha programu yako ya wavuti kuingiliana na Ethereum na mikataba mahiri.
- Data na Uchambuzi – Jinsi data ya blockchain inavyo kusanishwa, kupangwa na kutelekezwa kwa dapps
- Ghala – Mfumo mtawanyo na mbinu za uhifadhi uliogatuliwa
- Mazingira Jumuishi ya Maendeleo (IDEs) – Mazingira bora ya kuandika msimbo wa dapp
- Lugha za programu – Jinsi ya kuanza kutumia Ethereum kwa kutumia lugha ambazo tayari unazijua
Ya hali ya juu
- Madaraja – Muhtasari wa kuunda madaraja kwa ajili ya wasanidi programu
- Viwango – Kukubaliwa kwa itifaki za kudumisha ufanisi na ufikiaji wa miradi kwa jamii
- Thamani inayoweza kutolewa (MEV) – Jinsi thamani inavyotolewa kutoka kwenye blockchain ya Ethereum zaidi ya zawadi ya bloku.
- Maneno – Jinsi taarifa inavyoingizwa kwenye blockchain ya Ethereum.
- Uongezwaji – Mbinu za kuhifadhi ugatuaji na usalama kadiri Ethereum inavyokua.
- Uwepo wa data – docs-nav-data-availability-description
- Safu ya mtandao – Maelezo ya safu ya mtandao wa Ethereum
- Muundo wa data na usimbuaji – Utangulizi juu ya muundo wa data na skema ya usimbuaji inayotumika kwenye msururu wa Ethereum