Ruka kwenda kwenye maudhui makuu
Change page

Ethereum kwa wasanidi programu wa .NET

Ukurasa ulihaririwa mwisho: 15 Januari 2024

Jifunze jinsi ya kuendeleza Ethereum kwa kutumia miradi inayotegemea .NET na zana

Tumia Ethereum kuunda programu zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia manufaa ya sarafu fiche na teknolojia ya kiambajengo. Dapp hizi zinaweza kuaminika, kumaanisha kwamba pindi tu zitakapotumwa Ethereum, zitatumika kila mara jinsi zilivyoratibiwa. Wanaweza kudhibiti vipengee vya dijitali ili kuunda aina mpya za programu za kifedha. Zinaweza kugatuliwa, kumaanisha kuwa hakuna huluki moja au mtu anayezidhibiti na karibu haiwezekani kuzidhibiti.

Tengeneza mifumo iliyotawanywa juu ya Ethereum na uingiliane na mikataba-erevu kwa kutumia zana na lugha kutoka kwenye mrundikano wa teknolojia ya Microsoft - Inayotumika na C#, # Visual Basic .NET, F#, kwenye zana kama vile VSCode na Visual Studio, kwenye .NET Framework/.NET Core/.NET Standard. Sambaza mnyororo wa bloku wa Ethereum kwenye Azure kwa kutumia Microsoft Azure Blockchain ndani ya dakika. Leta upendo wa .NET kwa Ethereum!

Kuanza na mikataba-erevu na lugha ya Solidity

Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha .NET na Ethereum

Je, unahitaji primer ya msingi zaidi kwanza? Angalia ethereum.org/learn au ethereum.org/developers.

Utangulizi wa maktaba ya Nethereum na VS Code Solidity

Je, unataka kuruka usanidi kwa sasa, na urukie moja kwa moja kwenye sampuli?

Makala za wastani

Mifumo ya juu ya matumizi

Miradi ya .NET, zana na mambo mengine ya kufurahisha

Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia ethereum.org/developers.

Wachangiaji wa jumuiya ya .NET

Katika Nethereum, mara nyingi huwa tunabarizi kwenye Gitter (opens in a new tab) ambapo kila mtu anakaribishwa kuuliza/kujibu maswali, kupata usaidizi, au kupumzika tu. Jisikie huru kufanya PR au kufungua suala kwenye hazina ya GitHub ya Nethereum (opens in a new tab), au vinjari tu miradi mingi ya kando/sampuli tuliyo nayo. Unaweza pia kutupata kwenye Discord (opens in a new tab)!

Ikiwa wewe ni mgeni kwenye Nethermind na unahitaji usaidizi ili kuanza, jiunge na Discord (opens in a new tab) yetu. Wasanidi wetu wako tayari kujibu maswali yako. Usisite kufungua PR au kuibua masuala yoyote kwenye hazina ya GitHub ya Nethermind (opens in a new tab).

Orodha zingine zilizokusanywa

Tovuti Rasmi ya Nethereum (opens in a new tab)
Tovuti Rasmi ya Nethermind (opens in a new tab)

Je! makala haya yamekusaidia?