Unataka kujenga nini leo?
Kila kitu unachohitaji kujifunza na kujenga programu zako za kwanza kwenye Ethereum

Utokenishaji
Unda tokeni ya kipekee ili kujifunza misingi ya scaffold-eth.

DEX
Jenga mtengeneza soko rahisi wa kiotomatiki, toa ukwasi, na tekeleza ubadilishanaji wa tokeni.

Sarafu-imara
Jenga sarafu-imara na ujifunze mbinu za uthabiti na oracles za bei.

Changamoto na ushauri
Pokea ushauri kutoka kwa wengine, na ujifunze kushirikiana na waendelezaji wenzako.
MwendoKasi Ethereum (opens in a new tab)Pata malipo mazuri. Fanya kazi popote. Jenga mustakabali.
Zaidi ya nusu ya kazi za mnyororo wa bloku ni za kufanyia mbali, na makadirio mengine yanaonyesha idadi hiyo kufikia 70%.
Money you can program
Write code that defines how value moves, when, and to whom. No banks, no intermediaries, just logic you define.
Future-proof skills
Learn the building blocks of the next internet. The tech might evolve, but the principles of web3 are here to stay.
Censorship resistance
Build projects and commerce that can't be silenced by governments, corporations, or algorithms. If it matters, it stays online.
Digital sovereignty
Own your identity, assets, and creations online without relying on platforms that can delete you.
Jenga onchain na mawakala
Maarifa ya Ethereum yaliyopangwa kwa ajili ya mkusanyiko wa mawakala. Mpe wakala wako wa AI muktadha unaohitajika kusoma hali, kutuma miamala, na kuratibu na itifaki, bila kuondoka kwenye dirisha la muktadha wa modeli.
Rasilimali zenye msaada kwa waendelezaji

Anzisha wazo lako haraka
Bootstrap mrundikano wa programu yako ya Ethereum kwa sekunde. Soma Scaffold-ETH 2 (opens in a new tab)

Pata msaada
Kama umekwama au unahitaji msaada kutatua matatizo, hakikisha unaomba mwongozo

Rasilimali
Unataka kujaribu kwanza, kisha uulize maswali baadaye? Angalia sehemu za majaribio, bootcamps n.k.

Mafunzo
Jifunze utengenezaji wa Ethereum hatua kwa hatua kutoka kwa wajenzi ambao tayari wameufanya.
Kozi za video
Unataka kuanzisha taaluma yako ya kitaalamu katika blockchain? Kozi hizi zitakuandaa kupata ajira kama msanidi programu wa blockchain.

Misingi ya blockchain
Jifunze jinsi blockchain na mikataba mahiri inavyofanya kazi, unda pochi (wallet), na saini muamala wako wa kwanza.

Uendelezaji wa mikataba mahiri kwa Solidity
Uprogramu wa Solidity ni njia yako ya kuingia kwenye maendeleo ya Web3 katika mifumo inayolingana na Ethereum.

Misingi ya Foundry
Boresha ujuzi wako wa maendeleo ya Solidity kwa kutumia Foundry na dhana na zana za hali ya juu za maendeleo ya Web3.

Foundry ya hali ya juu
Fahamu mbinu za hali ya juu za maendeleo ya Web3 kwa kutumia Advanced Foundry kwa ajili ya uendelezaji wa mikataba mahiri ya Solidity.

Usalama wa mkataba erevu
Anza taaluma yako kama mtafiti wa usalama wa mikataba mahiri! Jifunze ukaguzi wa mikataba mahiri na mbinu bora za kufanya kazi.
Chunguza nyaraka
Elewa dhana kuu za Ethereum na blockchain.
Utangulizi
Utangulizi wa EthereumUtangulizi wa blockchain na Ethereum
Utangulizi wa EtherUtangulizi wa sarafu ya krypto na Ether
Utangulizi wa dappsUtangulizi wa programu zisiozo na mipaka
Utangulizi katika mpororoUtangulizi katika mpororo wa Ethereum
Wavuti-2 dhidi ya Wavuti-3Jinsi ulimwengu wa wavuti-3 wa maendeleo ni tofauti
Lugha za programuKutumia Ethereum na lugha zinazojulikana
Misingi
AkauntiMikataba au watu kwenye mtandao
MiamalaJinsi hali ya Ethereum inavyobadilika
VipandeMakundi ya shughuli zilizoongezwa kwenye pande la mnyororo
Mashine Dhahiri ya Ethereum(MDE)Tarakilishi inayoshughulikia mapatano
GesiEther inayohitajika kutoa nguvu kwa ajili ya mapatano
Nodi na watejaJinsi matofali na miamala inavyothibitishwa kwenye mtandao
MitandaoMuhtasari wa Mtandao Mkuu na mitandao ya majaribio
Mpororo
Mikataba erevuMantiki nyuma ya dapps - makubaliano yanayojitekeleza
Mfumo wa maendeleoZana za kusaidia kuharakisha maendeleo
Maktaba za javascriptUtumiaji wa javascript kuingiliana na mikatabaerevu
Mfumo wa nyuma wa programuKutumia maktaba kuingiliana na mikataba-erevu
Wachunguzi wa tofaliLango lako la data za Ethereum
Usalama wa mkataba erevuHatua za usalama za kuzingatia wakati wa utengenezwaji wa mikataba erevu
GhalaJinsi ya kushughulikia uhifadhi wa dapp
Mazingira ya maendeleoIDEs zinazo faa kwa maendeleo ya dapp
Jiunge na hackathon
Hackathon ni fursa nzuri za kujenga mtandao na kujifunza kutoka kwa wengine, pamoja na kuanzisha miradi na kupata zawadi.

ETHGlobal Cannes
3 – 5 Apr 2026
Cannes, France

ETHSilesia 2026
16 – 19 Apr 2026
Katowice, Poland

ETHPrague
8 – 10 Mei 2026
Prague, Czechia

ETHBratislava
22 Mei 2026
Bratislava, Slovakia

ETHKyiv
1 Jun 2026
Kyiv, Ukraine
Je, wewe ni mwanzilishi?
Tayari una wazo la mradi au unafanya kazi kwenye mfano (prototype)? Chunguza jinsi ya kupeleka mradi wako hatua inayofuata. Tunaweza kukuunganisha na mashirika yanayohusika na wataalamu katika nyanja hii.

