Ruka kwenda kwenye maudhui makuu
Change page

Ethereum kwa wajenzi wa Java

Ukurasa ulihaririwa mwisho: 25 Agosti 2025

Jifunze jinsi ya kutengeneza Ethereum kwa kutumia miradi na zana zinazotegemea Java

Tumia Ethereum kuunda programu zilizogatuliwa (au "dapps") zinazotumia manufaa ya sarafu fiche na teknolojia ya kiambajengo. Dapp hizi zinaweza kuaminika, kumaanisha kwamba pindi tu zitakapotumwa Ethereum, zitatumika kila mara jinsi zilivyoratibiwa. Wanaweza kudhibiti vipengee vya dijitali ili kuunda aina mpya za programu za kifedha. Zinaweza kugatuliwa, kumaanisha kuwa hakuna huluki moja au mtu anayezidhibiti na karibu haiwezekani kuzidhibiti.

Kuanza na mikataba-erevu na lugha ya Solidity

Chukua hatua zako za kwanza za kuunganisha Java na Ethereum

Je, unahitaji primer ya msingi zaidi kwanza? Angalia ethereum.org/learn au ethereum.org/developers.

Kufanya kazi na wateja wa Ethereum

Jifunze jinsi ya kutumia Web3J (opens in a new tab) na Hyperledger Besu, Wateja wawili wakuu wa Java Ethereum

Jifunze jinsi ya kutumia ethers-kt (opens in a new tab), maktaba ya async ya Kotlin yenye utendaji wa juu ya kuingiliana na minyororo ya bloku inayotegemea EVM. Kulenga JVM na majukwaa ya Android.

Makala za wastani

Mifumo ya juu ya matumizi

Miradi na zana za Java

Je, unatafuta rasilimali zaidi? Angalia ethereum.org/developers.

Wachangiaji wa jumuiya ya Java

Je! makala haya yamekusaidia?